Singanojr

Mimi ni SinganoJr. Ikiwa unapenda kusoma hadithi zinazochanganya mapenzi, sayansi ya kubuni (science fiction), fantasia, ulimwengu wa giza, Mapigano (action), na ujasusi katika simulizi moja, basi riwaya zangu zote zitakuvutia na kukuacha na hamu ya kuendelea kusoma.