IIT

utaalamu wangu wote nikiuandika hapa sehemu haita toshea. lakini si haba mimi ni Mtaalamu wa kiroho. Mwandishi, Mchambuzi wa Mifumo na Mwasisi wa Harakati za Kifikra. Ndiye kalamu iliyo nyuma ya majina maarufu mtandaoni kama Papaaa mukuubwaaa, IIT MWASISI OS, na Jesuitdon.jesuit the master,titan 51. Nimebobea katika kuandika nyuzi nzito za kiuchambuzi, makala za kiroho, na falsafa za kimfumo zina…