FOR YOU 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Uhalifu, Mauaji, Visasi, Vita, Mambo yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KWANZA
★★★★★★★★★★★★★
MIAKA... NANE... BAADAYE...
Miaka hupita haraka, na katika kisa hiki hali haikuwa tofauti. Miaka nane ilikuwa imepita tokea wakati ule mbaya sana kuwahi kuikumba nchi. Watu wengi waliuawa kipindi kile ambacho kama ungemuuliza mtu fulani siku …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments