Reader Settings

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

WhatsApp: +255621567672

Email: [email protected]

UMRI: 18+

SEHEMU YA HAMSINI NA MOJA

“Ni hilo tu?”

“Anahitaji wewe ufe baada ya kukanusha kauli yako kuhusu familia yake”

“Umesema?”

“Anakutaka wewe ukiwa marehemu”

“Anataka kumuua raisi?”

“Sijajua ila haya ndiyo maelezo yake”

“Na nisipofanya hivyo?”

“Taifa linaingia gizani jumla, amedai kwamba huko nyuma hakutumia nguvu zake ila …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next