FOR YOU 2
Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Uhalifu, Mauaji, Visasi, Vita, Mambo yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA NNE
★★★★★★★★★★★★
Masaa kama mawili yalipopita ya utafiti mwingi, Luteni Michael akawa amerejea na wengine alioondoka nao muda mfupi nyuma. Aliwakuta wanaume wa timu yake wakiwa wanajadili mambo kadha wa kadha, huku ACP Nora akiwa amejitenga …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments