Reader Settings

INVISIBLE 2

A Story by Elton Tonny

Familia, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Usaliti, Unyanyasaji, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa

R-rated 18+

Enjoy!


★★★★★★★★★★★★

SEHEMU YA TISA

★★★★★★★★★★★★


Wakati nawaza, Nusrat akatoka bafuni akiwa amevaa nguo ya taulo kwa ajili ya bafuni, naye akanipa tabasamu. Nikatabasamu pia, lakini akili yangu ilikuwa imeshahama sasa nami hata sikukazia fikra jinsi alivyovutia akiwa amelowana. Nikamwambia avae nami ningemsubiri nje …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next