INVISIBLE 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Usaliti, Unyanyasaji, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI NA TATU
★★★★★★★★★★★★★★★★
Nikamtakia Lorena usiku mwema baada ya hapo na kurudi zangu chumbani. Niliposhika simu yangu niliyokuwa nimeiacha kitandani, nilikuta 'missed call' mbili kutoka kwa Nusrat, na ujumbe wake akinitakia usiku mwema kwa kuwa alihitaji kupumzika kutokana na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments