Reader Settings

“Naelewa hilo mheshimiwa na nashukuru kwa kunipa hii nafasi”

“What is it?”

“Mimi ni miongoni mwa watu ambao wamekuja ndani ya taifa hili kama washauri wakuu wa masuala la biashara, mimi ndiye naweza kutoa kauli ya mwisho kwamba hii biashara inatufaa au haitufai na waziri mkuu pamoja na raisi wakaikubali au wasiikubali hivyo kiufupi ni kwamba naaminika ndani ya nchi yangu. Kupitia hili nataka mimi …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next