Kwa Ajili ya Upendo – Sehemu ya Kumi na Nane
Wiki moja baada ya ushindi rasmi kutangazwa, Dodoma ilikuwa inabadilika kwa kasi ya kushangaza. Barabara zilianza kurekebishwa, shule kufunguliwa, na hospitali kujengwa kwa haraka maeneo yaliyokuwa yamesahaulika kwa muda mrefu. Lakini ndani ya mafuriko hayo ya matumaini, changamoto mpya zilianza kujitokeza.
Sefu, akiwa sasa amekuwa kiongozi wa mpito wa taifa, alikumbwa na maamuzi magumu. Hakukuwa na ramani …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments