MIMI NA MIMI 3
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI
★★★★★★★★★★★★★★★
Siku zikaanza kwenda. Moja, mbili, tatu, mpaka miezi miwili ikakatika nikiwa naendelea na maisha yangu mapya chini ya mbawa zake Bertha. Kutokea siku aliyonipeleka hospitalini pale na mimi kuanza shughuli zangu rasmi, nilitumia muda …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments