“Ulijua kama tutakuteka?”
“Kutekwa ulikuwa mpango wangu, ningeamua wewe hapo usingekuwa na uwezo wa kunipata abadani! Fanya haraka niongee na bosi wako kwa sababu nina ratiba zangu inatakiwa nizianze leo baada ya kutoka hapa” Leyla aliibadilisha sura yake na jambo hilo aliongeza kulifanyia msisitizo zaidi, sura yake haikuwa ya kirafiki tena bali shari! Siamon akawa mtulivu na kutoka nje ambapo baada ya dakika alirudi akiwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments