UGANDA.
Yohani Mawenge, alikuwa anajua kitu ambacho kingefanyika ndiyo maana alikuwa amehitaji kitu kinacho itwa IMMUNITY FROM PROSECUSION. Huu ni mkataba au makubaliano ambayo huwa wanaingia serikali ya taifa husika na mtuhumiwa ambayo inamlinda mtuhumiwa ili asikumbane na mkono wa sheria kwa makubaliano ya kutoa taarifa au kuwa msaada kwa serikali juu ya upatikanaji wa wahalifu wengine au kutoa taarifa ambazo zitakuwa na msaada mkubwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments