Reader Settings

“Umeongea jambo la maana Innocent, sioni sababu ya kuilaumu serikali, hata wao hawapendi mambo kama haya yatokee kwani huwavua nguo na kuwachafua. Ni wao ambao hawapendi haya mambo yatokee ili wapate kujinadi vyema kwenye siasa, jambo la mhimu ni kuendelea kuliombea taifa letu na kila mtu kuwajibika kwa nafasi yake. Mtu mmoja mwenye busara aliwahi kunukuliwa akisema “LAWAMA NI TAMU SANA UNAPO ITOA MDOMONI LAKINI …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next