Reader Settings

Roma aligeuka nyuma na kuanza kumshangaa msichana kwa kitendo cha kuongea lugha ya kiswahili , Msichana huyu alionekana akili yake haikuwa sawa kwa madakika kadhaa ,aliwaangalia wajapani waliokuwa mbele yake na alianza kuwaogopa .

Roma ambae hakuwa na nguo hakujali sana kama aliekuwa mbele yake ni mwanamke.

"Unaitwa nani ?" Aliuliza Roma kwa Lugha ya kiswahili na kumfanya msichana huyu amwangalie Roma kuanzia miguuni na …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next