Reader Settings

Kutoka Osaka mpaka ilipokuwa kambi iliokuwa ikifahamika kwa jina la Hastiti hapakuwa mbali na chopa ilitumia dakika kumi na tano tu kua angani.

Muda wote ambao Sophie na Shira kuwa angani , walikuwa wakimshangaa Roma ,hawakuwa wakielewa kwanini mtu aliekuwa uchi mbele yao dakika kadhaa nyuma alionekana kuheshimika sana mbele ya Meja Suzuki , lakini pia hawakuwa wakielewa kwanini Meja Suzuki alikuwa akimwita mwanaume aliekuwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next