Reader Settings

Edna aliekuwa amesimama akiwapungia mkono Dorisi na Roma , alikuwa na hisia ambazo hakuweza kuzielewa mwenyewe , kwani siku kadhaa alionekana kumkumbuka sana Roma na kutamani arudi haraka , licha ya kwamba hakuwa amempigia simu, lakini alitaka kufanya hivyo mara kibao , kila alipokuwa akitaka kupiga aliishia kughaili hakujua ni kwanini kuna nguvu mbili zilizokuwa zikishindana ndani ya moyo wake na kutokana na nguvu ya …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next