Mheshimiwa Senga baada tu ya kushuka kwenye Ndege alianza kusalimiana na mwenyeji wake Raisi Kamau ,aliekuwa ameambata na mke wake Maina .
Muda wote Maina alikuwa akimwangalia Senga , mwanamama huyu alionekana kuwa na majuto makuu , alionesha hali ya kujutia kwa kitendo cha kujivika sura bandia ili mradi asifahamike uwepo wake duniani kwa Senga.
Senga nae licha ya kwamba alikuwa akisalimiana na viongozi mbalimbali …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments