Reader Settings

Zonga haikueleweka amefika mlangoni hapo saa ngapi ,Roma alimwangalia na kumuona akiwa na wasiwasi.

“Kuna nini Zonga , mbona unaonekana kuwa na wasiwasi?”.

“Baba yake Rose , kafika na kundi lake la Fupa Faru”

“Roma hakuwa akimuelewa Zonga anamaanisha nini kwani hakuwahi kusikia kuhusu Fupa Faru”

“Fupa Faru ndio watu gani?”

“Ni kundi analomiliki baba yake Rose”Aliongea Zonga na hapo ni kama Roma alipata mwanga,alimwangalia …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next