Roma Na Dorisi walipewa mapumziko ya siku mbili kabla ya kurejea kazini , hivyo Roma muda wote alibakia nyumbani , kiufupi hakukua na jambo kubwa sana ambalo lilikuwa limetokea ndani ya siku nzima.
Edna alionekana kuwa bize sana tokea Roma arudi nchini , Roma mwenyewe alishangazwa na ubize wa nke wake, Edna alikuwa akirudi usiku sana kwani alikuwa akifanya kazi Overtime,Kwa Roma hakutaka sana kumuuliza …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments