MASAA MACHACHE NYUMA
Roma na Edna baada ya kumaliza kupata chakula ambacho walikiita chakula cha mchana kutokana na kuchelewa kwao kupata chakula hicho ,Roma alimchukua Edna mpaka My World Fashion Mall , kwa ajili ya kuchagua vazi la kuvaa kwenye kusanyiko la wafanyabiashara ambalo lilikuwa likitegemewa kufanyika usiku wa siku hio.
Ilikuwa ni wikiend na ndani ya eneo hili lilikuwa na watu wengi mno ambao …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments