Muda wote wakati Edna anaongea na Neema , watu wote hapa ndani macho yalikuwa kwa Edna na Roma , ni kama walikuwa kivutio usiku huu wa leo, na kwanini wasimwangalie sasa , kwani asilimia kubwa ya wanaume waliokuwa hapo ndani walishawahi kumtongoza Edna na kukataliwa , lakini jamaa wa kawaida sana asie Handsome kampata mrembo kama Edna , kwao ilikuwa ni pigo na aliekuwa akipumulia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments