John alikimbia mpaka chini kwenye bustani za jengo hili na kuhakikisha, lakini hakukuua na dalili zozote za Afshar kuonekana , jambo hili lilimshangaza sana.
“How this possible!?”Alijiuliza huku akiwa sio mwenye kuamini kama Afshar kapotea , aliamini lazima atakuwa katika mazingira hayohayo.
Upande wa ndani ya ukumbi hali ilikuwa mbaya , lile kusanyiko lilikuwa limeharibika ,Chiara alikuwa fasta sana , baada ya kuona Edna Analia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments