Reader Settings

Mzee Alex pamoja na wafanya biashara wengine waliokuwepo eneo la maegesho , walikuwa kwenye mshangao mkubwa sana , ni kama macho yao yaliku yakiwadanganya kwa kile walichokuwa wakikiona mbele yao , mtu ambaye dakika chache nyuma walimshuhudia kupigwa risasi alikuwa amembeba Seif begani , kwanini wasishangae.

“Jamani si tumeshudia akipigwa risasi huyu, au haikumpata?”Aliuliza mwanamama mmoja mnene aliekuwa ameshikilia simu yake kubwa ya I phone …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next