Reader Settings

“Nini kimetokea Scorpion?”Aliuliza Kigombola baada ya kukata simu.

“Kwa maelezo ya Abubakari mheshimiwa ni kwamba Roma sio mtu wa kawaida , Risasi zimempata lakini hajafa na mbaya Zaidi anasema Seif amekamatwa na Roma na inaonekana anaenda kufanya nae mahojiano maana bado yupo hai”aliongea Scorpion ka wasiwasi na mheshimiwa , hasira zilizochanganyika na mshangao zilijionyesha katika macho yake.

“Unaweza kwenda”Aliongea huku akinyanyuka na kwenda maka kwenye …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next