“Mfalme Pluto kuna jambo halipo sawa kwa Afshar?”
“Unamaanisha nini Diego?”
“Anaonekana kutokuwa na kumbukumbu”Aliongea Diego na kumfanya Roma aongoze njia kuelekea upande wa chumba ambacho The Eagles walikifanya kama sehemu ya kufungia watuhumiwa kwa muda na kuwahoji.
Roma baada ya kumfikia Afshar , alimshika kidevu na kumuangalia machoni.
“Sh***t!, Poseidon yule fala , nilijua tu yupo hapa nchini kwa kazi maalumu na tamaa zake”Aliwaza …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments