Edna alionekana ile hali ya mawazo aliokuwa nayo kumpotea kabisa, kwa mara ya kwanza Edna alikuwa akifanya manunuzi katika soko la kawaida , kwake ilikuwa ni jambo jipya katika maisha yake , lakini pia lilikuwa jambo ambalo lilimfanya kufurahi.
Kwa namna Edna alivyokuwa akiongea na Najma usingedhania ni yule mwanamke kauzu , hapa Edna alionekana kuwa mwanamke muongeaji , kwani alichangia baadhi ya topic na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments