Reader Settings

Edna alizidi kukodolea mgongo kwa umakini kama mtu ambaye hakuwa akiamini na alitaka kuthibitisha Zaidi kama kitu anachoangalia ni kweli , lakini kila kitu kilikuwa vilevile , hakukua na jeraha lolote Zaidi ya Tatoo za ajabu ambazo hakuzielewa, zikiwa kwenye mgongo wa Roma, aliangalia Pete yenye neno ‘Aides’ kwa makini na kwa sekunde kadhaa na baada ya hapo ndipo akili yake ilirudi na kuona aache …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next