Roma aliingia ofisini kwa mke wake na kumkua Edna aliekuwa bize kama kawaida , lakini Edna alipomuona Roma alimpa ishara ya kukaa na Roma hakutaka kuongea sana alikaa huku akimwangalia Edna.
Baada ya kama dakika chache kupita Edna alionekana kumaliza kile alichokuwa anafanya na kisha akachukua ufunguo wa gari na kumpatia Roma.
“Kanisubiri maegeshoni , kuna sehemu tunaenda”Aliongea Edna huku akimkabidhi Roma ufunguo wa Gari …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments