Reader Settings

SIKU CHACHE NYUMA.

Ni siku nne nyuma kabla ya Roma na Dorisi kuelekea Japani,Edna alivyoingia kazini , alimwita Nasra mhasibu mkuu wa kampuni ndani ya ofisi yake na mwanadada huyu alifika haraka sana kuitikia wito wa bosi.

“Nasra nina uwekezaji mkubwa ambao napanga kuufanya ndani ya huu mwaka , mkataba ambao utahitaji kiasi kikubwa sana cha pesa”aliongea Edna na kisha akamwangalia Nasra kama alikuwa akitafuta …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next