Reader Settings

Abu alijikuta akitoa matusi ya nguoni mara baada ya kila benki ambayo alikuwa akiwasiliana nao kwa ajili ya mkopo kumwambia jibu linalofanana , alijikuta akichefukwa na Roho.

“Hawa wapuuzi wote naona wameambiana kutukazia , wase**ge kweli”Alitukana Abu huku akitoka kwenye ofisi yake na kuelekea upande ambao alimuacha Mzee Alex.

“Vipi Abu umefanikiwa?”Aliuliza Mzee Alex ambaye alionekana kuwa ni mwenye wasiwasi , kwani kwa sura aliokuwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next