Reader Settings

Roma alibakia kukaa chini tu kuangalia kile ambacho mke wake Edna alikuwa akifanya,kwa namna ambavyo Edna alikuwa akitoa maelekezo, alijiwazia kwenye kichwa chake kwamba itamchukua muda mrefu kumuelewa Edna.

Roma hakutaka kujisumbua sana na michakato iliokuwa ikiendelea hapa ndani , yeye alichokifanya ni kurudi kwenye sofa la hapa ndani na kisha aliuchapa usingizi , jambo ambalo lilimfanya Edna ageuke na kumwangalia na ile anageuka aligonganisha …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next