Reader Settings

MIEZI SITA NYUMA

Ilikuwa ni miezi sita nyuma kabla ya Edna kukutana na Roma , wakati mwanadada huyu anaingia kwenye kampuni yake siku ya asubuhi , alikutana na mgeni ambaye hakuwa akimfahamu mpaka pale mgeni huyo alivyojitambulisha kwake.

“Miss Edna nina furaha kukutana na wewe ana kwa ana , ni mrembo kama sifa zako zinazosambaa kwenye ulimwengu wa kibiashara”Aliongea mgeni huyu na Edna akatabasamu na …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next