Roma na Bi Wema wote walishangazwa na kuhuzunishwa na taariFa hio iliowafikia asubuhi hio,Edna alijikuta akijongea mpaka kwenye sofa na kukaa, hakuwa akitoa machozi lakini alionekana kuwa kwenye uchungu wa kumpoteza mzazi wake.
Ndio Edna na Baba yake hawakuwahi kuwa na ule ukaribu wa utoto na Ubaba na hii yote nikutokana na siri ambayo Edna hakuwa akiijua uu ya baba yake,Mzee Adebayo hakuwahi hata kumshika …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments