Reader Settings

Mzee Alex Baada ya kufumba macho kwa madakika kadhaa , aliinua uso wake na kumuangalia Abubakari , Mzee huyu alikuwa na hisia mchanganyiko juu ya mtoto wake huyu wa kambo , alikumbuka miaka kadhaa nyuma alivyovutiwa na kijana huyu mpaka kumchukua na kumleta kwenye familia yake.

Baada ya kumwangalia Abu ambaye muda wote alikuwa akiwa na hofu juu ya Hatima yake, mzee huyu alivuta pumzi …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next