Reader Settings

Najma alikuwa na hisia mchanganyiko ,ni kama hakuwa amemtambua Roma vizuri , lakini macho yake haya kumdanganya alikuwa akimjua Roma hata kwakisogo chake tu.

“Shost twende tukampe pole Edna”Aliongea Nasra na kumvuta Najma mkono na kisha waliingia ndani ya jumba la kifahari la Mzee Adebayo kwa ajili ya kumuona Edna.

Najma alishangazwa na uzuri wa jumba hili , licha ya kwamba lilikuwa limejaa watu wengi …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next