Reader Settings

Edna asubuhi ya leo alikuwa ameamka mapema kuliko isivyokuwa kawaida yake , leo hii alikuwa sebuleni huku Bi Wema akiendelea kufanya usafi wa nyumba.

Magdalena ambaye alikuwa ashaamka mapema tu alikuwa ameketi kwene masofa huku akiangalia Runinga , taarifa ya habari ya asubuh.

Taarifa ambayo ilimfanya Magdalena kukaza macho ni juu ya kulipuka kwa mlima Oldonyo Leangai uliopo huko Arusha baada ya miaka Zaidi ya …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next