Reader Settings

BUDDAPEST- HUNGARY 1990

Ni asubuhi na mapema ndani ya mji mkuu wa Hungaria unaofahamika kwa jina la Budapest, mji ambao una wakazi Zaidi ya milioni moja, pembezoni mwa mto Danubi inaonekana familia nzima ya Mzee Kovac Smith ikiwa mezani kwa ajjili ya chai ya asubuhhi , wazungu wanaita Breakfast.

Jumla ya wanafamilia hawa ni Wanne , yaani Mzee Kovac mwenyewe ambaye ni tajiri maarufu ndani …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next