TEXAS-DALLAS
11 YEARS AGO(MIAKA KUMI NA MOJA ILIOPITA)
Ni tarehe ishirini na tatu kuamkia ishirini na nne mwezi wa kumi na mbili ndani ya jimbo la Texasi jijjini Dallas , ndani ya makazi ya watu, sehemu inayofahamika kwa jina la Greenville Avenue muda wa saa sita usiku.
Mwanamama wa umri wa miaka arobaini hivi aliekuwa akifahamika kwa jina la Mary , alionekana akishituka kutoka usingizini …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments