Reader Settings

Roma na Rose walisogea mpaka katikati , huku wakiwa wamezungukwa na vijana wa kundi la Situ pamoja na wa Black mamba ambao kundi lake lilikuwa likiongozwa na Hassani.

Roma hakuonekana kuwa ni mwenye wasiwasi , ila kwa Rose alionyesha wasiwasi , kwani hakujua Roma ni jambo gani alilokuwa akitaka kulifanya.

Kiufupi licha ya Rose kujua Roma hakuwa ni wa kawaida na anajua kupigana, lakini mbele …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next