Reader Settings

Mrembo Edna hakuonekana kuwa na Amani kabisa siku nzima ya Jumamosi , licha ya kwamba siku hii alienda kazini , lakini ukweli ni kwamba hakuna jambo lolote la maana ambalo alifanya akiwa kazini , kichwa chake kilionesha hali ambayo haikuwa kwenye utulivu kabisa.

Na ilipotimu saa saba mchana alirudi moja kwa moja nyumbani huku akiendelea kuwaza ni kipi kimempata Roma mpaka wakati huo hajarudi nyumbani,licha …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next