Reader Settings

Roma alikuwa tayari ashawasiliana na Neema luwazo sehemu ya makutano yao, licha ya kwamba Roma alishangazwa na umbali wa eneo ambalo Neema alikuwa amechagua , eneo la Mbezi Beach ila aliona haina tabu

Roma hakujali sana, alichukulia kama fursa ya kuendesha gari umbali mrefu, kwanza sio kama alikuwa na shida ya mafuta , hakuwa nayo ,kwani pesa ya mafuta ilikuwa ni ya mke wake …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next