Roma ndio aliekuwa dereva usiku huu huku mke wake Edna aliekuwa amependeza akiwa amekaa pembeni ,Edna akiwa amevalia gauni la rangi nyeupe lenye maua kama michirizi huku kiunoni akafunga na mkanda wa rangi nyekundu, alikuwa amependeza , Roma nae mavazi yake yalikuwa ni suti kama kawaida na shati rangi ya bluu bila tai.
Roma aliendesha kwa maelekezo ya Edna mpaka wakaja kusimama kwenye jumba moja …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments