Reader Settings

Wakati Roma akiwa anachunguza chumba hiki , mara mlango ulifunguliwa tena, na akaingia Tajiri Mohamedi aliekuwa akisukuma baiskeli ya mataili manne ambayo ilikuwa imembeba Mzee Atanasi mpaka upande wa kulia kwake.

“Baba huyu ndio mume wa Edna”Aliongea Mama Nusra akimtambulisha Roma , wakati huu tajiri Mohamedi akiwa amekaa chini na yeye.

“Ninafurahi kukufahamu Mr Roma,Naitwa MR Atanasi , nadhani haujawahi kunisikia popote”Aliongea Mzee huyu na …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next