Reader Settings

Roma baada ya kumaliza kuongea na simu alishuka mpaka chini sebuleni kwa ajili ya kujipatia kifungua kinywa ili aelekee kazini.

Edna tayari alikuwa ameketi kwenye meza na Bi Wema wakijipatia kifungua kinywa ,Edna alimwangalia Edna na kisha kumtingishia kichwa kama salamau na Roma alitabasamu na kisha akavuta kiti na kuketi.

Saa tatu kamili Roma aliingiza gari lake kwenye maegesho ya kambuni na akaingia kwenye lift …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next