BOLIVIA –AMAZONI 1990
Ni ndani ya mwaka 1990 miezi minne tu baada ya kijana Levente pamoja na Profesa Banosi kupigwa Risasi nchini Hungaria ndani ya mji mkuu wa Budapest .
Ndani ya sehemu moja iliokuwa katikati ya Msitu wa Amazon kilomita kadhaa kutoka mji mkuu wa La Paz , ilionekana Chopa iliokuwa ikiambaa ambaa angani ndani ya msitu huu , huku ikiwa na nembo ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments