Reader Settings

Vijana ni kama hawakuwa wametegemea polisi kuja eneo hilo , kwani walishindwa hata kujitetea, polisi wale waliwashika mmoja mmoja na kuwafunga pingu hawakukata maelezo

“Nyie ndio Mnaofanya wananchi wanalamikia polisi kwa kutofanya kazi yake kwa weredi na leo mtatutambua”Aliongea polisi mmoja mwembamba huku akimfunga Yezi pingu mikononi, walionekana hawakutaka kujua kabisa ni nini kilikuwa kikiendelea hapa kwenye hili eneo na waliona kila mmoja alikuwa ni …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next