Roma alimwangalia Yezi kwa dakika kadhaa kama mtu aliekuwa akijiuliza maswali na kisha aliweka mfukoni ile cheni iliokuwa na kidani, Roma alitaka ampeleke Yezi sehemu anayoishi kwa kumpa Lift lakini mwanadada huyu alikataa na Roma hakutaka kufosi , alipanga gari na kuduti nyumbani.
“Oooshh…iii, Roma Please fanya taratibu”
“Okey! Wife ila kadri ninavyofanya taratibu ndio muda utaongezeka mpaka kumaliza”Aliongea Roma ambaye alikuwa akipiga kiuno taratibu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments