Reader Settings

Saa kumi na mbili za jioni Roma alitoka ndani ya Kigamboni kuitafuta Sinza eneo ambalo ndio Mage alitaka kwa wao kuonana a , aliendesha gari yake huku akijiuliza kwanini Mage achague maeneo ya mbali hivyo, ila hakutaka kuwaza sana , aliendesha gari yake kwa umakini na kwa spidi na ndani ya kama nusu saa hivi alikuwa akiingia ndani ya hoteli moja maarufu iliokuwa ikifahamika kwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next