Upande mwingine , ndani ya eneo la Mbezi Beach mkabala na jengo la kanisa la KKKT, ndani ya jumba la kifahari anaonekana mwanadada mrembo Nadia au Goddes of Law akiwa amejiachia sebuleni kwake bila habari , na kwa jinsi ambavyo mwanamke huyu alikuwa amevaa kama ni mwanaume ungekuwa karibu yake ni hakika ungetegeka , kwani kigauni alichokuwa amevalia kilikuwa ni kifupi mno na chepesi na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments