Roma alimkaribisha kwanza Sophia mpaka kwenye masofa ya hapo sebleni , huku wakiwe mabegi pembeni, na wakati huu na Bi Wema alikuwa ashatoka jikoni na alikuwa ameketi sebuleni wakisubiri utambulisho kutoka kwa Roma.
Roma alimuelezea Edna kama alivyokuwa amepanga na Sophia , lakini kwa Edna alijikuta akishangaa , licha ya kwamba alionekana kuelewa lakini pia alibaki na maswali , kilichomfanya asiulize sana ni kutokana na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments